Ok so nimeipata hii mitaa ya kati inasemekana mrembo huyu aliyekuwa amepata mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye walijuana katika birthday pary ya best yake amekutwa na sheshe la aina yake hapo juzi kati.....
Inadaiwa shosti huyu anasifika sana kwa KUWACHUNA wanaume wanaoigia katika anga zake na kuingia mitini, juzi alipatikana alipokutana na wajanja wa mujini zaidi yake. Bi dada huyu inasemekana kwa bahati mbaya msimu huu haukuwa wake baada ya kuwekewa madawa ya kulevya katika kinywaji chake na kujikuta amelewa sana hivyo kupelekea kuliwa uroda kwa mafungu bila kujitambua.
Bi shost huyu inadaiwa hakusoma mchezo ulivyokua unaendelea kwani alishakua bwax (kalewa) Baada ya muda, shostito akajikuta anakua hoi bin taabani na ndipo wavulana hao walipombeba msobemsobe na kumpeleka chimbo na kujilambia sukari kiulaiiiniiiiii na kisha kumtelekeza kama alivyokutwa hapo
OK USHAURI WA BURE;
Dada kwanza pole mwaya; ila kama unapenda kuchuna watu na kuwakimbia unatakiwa ujue rules za kuchuna, HUTAKIWI KULEWA UKIWA KATIKA MCHUNO JAMANI...Hutakiwi kunywa na kujisahau mpk mtu anakuwekea kitu kwa kinywaji chako bila wewe kujua hapo lazima uuze bendi...haya pole thank God u r still alive oo...u no go chop pipo monie egen oo
2 comments:
heee? bado kuna watu wana tabia ya kuchuna mabuzi mpaka leo? kaazi kweli kweli
chuna uchunwe....duuh
Post a Comment