Damino's body seen thrown at the back of the pick up just like a common animal...
Popular Nigerian hip hop musician, Olaniyan Damilola Ibrahim Popularly Known As Damino Damoche, was shot to death yesterday at Lagos State University Ojo gate by people suspected to be cultist.
Damoshe was shot twice in the head and hand by unidentified assailant(s) after he finished writing a test at faculty of management science. He was a Banking and Finance student at LASU. He was popular for his song – obo to she. The reason Behind his Murder is yet to be determined.
Source: lindaikeji.blogspot.com
Source: lindaikeji.blogspot.com
********************************
MY OWN OPINION
Why Africa people do not respect someone once they are dead? Tabia hii inanikera mno tena sana, kwann Waafrica hatuna heshima na uutu kwa hawa tunaowaita mastaa wetu pindi wanapoaga dunia? Tumekua tunasikia misiba mbali mbali dunia na nchi zilizoendela ila kamwe huwezi kukuta wamewapiga picha na kuwaanika mitandaoni mastaa wao kwanii sisi Waafrika ndio tunakua mabichwa maji na kuwafanyia marehemu hivi? imagine ndio mdogo wako au kaka yako au ndugu yako yoyote aanikwe hivyo akiwa amefariki utajisikiaje kila ukifungua internet unaona picha yake? Kwa tanzania tumeona sana tu msiba wa wasanii mbali mbali, watu wanataka sifa kutoa picha za wenzao, picha ya Kanumba, Sharobalo , Mr Ebo, sijui wakina nani huko zilikua zinasambazwa kama sifa like kuwabeza flani jamani hivi ungekua wewe unafanyiwa hivyo ungefurahi?
Huyu ni marehemu Sharobalo(daah sorry kwa hii pic nimeweka ili muone nachoongea but ill come to remove it)
Huku Marekani mtu akifa hata iweje hawamuaniki hivyo, wakina Aliya, 2pac, Whitney, Notorious, Michael Jaskon na wengine wengi, mmeshwahi kuoa picha zao walipofariki? sijui mkoje yaani kama huyo mkaka hapo juu sijapenda kuweka picha yake but i had to ili kuonesha point yangu ona walivyomtumia kwenye hio pick up...!inaonesha kabisa walimnyanyua hapo chini na kumrushia au kumburuzia hapo kwa hio gari km mzoga tu, najua kuna watu wenye roho mbaya mtakua mnajisemea si kshakufa, ila kumbuka mtu ana thamani ya pekee hata akiwa maiti na ndio maana kuna kutoa heshima za mwisho like kuendictae huyu ni binadamu na tuliishi nae humu duniani, sasa kumueshimu mtu huyo just one more time b4 azikwe na kumsitiri picha zake kuna ugumu gani? kwanini watu mnakua na roho mbaya kiasi hiko? yaani hata mnyama sio hivyo... hata mbwa akiona mbwa mwenzike kafa anasikitika, ila sisi tumekua wanafiki sana siku hizi, mtu akifa tu we unawaza masifa uwe wa kwanza kua na picha yake inakusaidia nini? basi unaweka picha pale na kujitia rest in peace shujaa... unafiki tu anarest vipi in peace na wewe picha zake unazifanyidhihaka?
Huyu nae ni marehemu Goldie wa Nigerina...
Mnaniboa sana watu wa aina hio yaani hapa nimenyamaza muda ila leo nimeona tu niseme ukisoma na kusikia usikie usiposikia shauri lako na liroho lako libaya kama la mnyama, mi siku niwe maarufu afu nife uniweke hivyo nitakuhaunt milele kila uendepo, tuwasitiri marehemu kama na sisi tunavyopenda kusitiriwa jamani ...sio sifa, mi nawafikira sana wanaofiwa imagine unamuona ndugu yako aliofariki online kwenye fb, sijui kwenye mablog kila ukifungua unamuona unadhani hio ni image nzuri? MUWE NA UTU JAMANI MNABOOOOOOAAAAAAA SAAAANNNAAAA WENYE TABIA HIZO SIO SIFA MFYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

0 comments:
Post a Comment