Home » » MWANAMKE MWEUSI MWENYE NYWELE NDEFU KULIKO WOTE DUNIANI...

MWANAMKE MWEUSI MWENYE NYWELE NDEFU KULIKO WOTE DUNIANI...

Hairy headpiece: My Strange Addiction documents people who are struggling with unconventional habits
Mwanamke huyu anaeishi Clermont Florida hapa Marekani aliejulikana haraka haraka kwa jina la Asha mwenyewe umri wa miaka 47 amegoma kunyoa nywele zake kwa takribani miaka 24 sasa. Nywele za mama huyu zilizokua na urefu wa futi 21 na kuwa na uzito wa pound 250zikiwa wet zimemsababishia maumivu makali ya mgongo na shingo lakini amegoma kabisa kuzinyoa mbali na ushauri wa madaktari mbali mbali... 
'My baby': The 47-year-old, from Clermont, Florida regards her locks as anything but a burden
Asha amezungumzia jinsi alivyokua addicted na nywele zake ambapo anaonekana kuzipenda kuliko kitu chochote duniani... Akiongea kwenye kipindi cha My Strange Addiction cha TLC Amesema anatumia masaa matano kila siku kuziweka tu sawa nywele hizo na chupa 24 za shampoo kila mwezi.
Versatile: Asha can even use her hair as a pillow if she fancies a nap
Asha pia anaweza kuzitumia nywele hizi kama mtu endapo atajisikia kujipumzisha sehemu yoyote ile.
Scissorphobia: Asha lovingly describes her mane as 'my baby, my sweetheart, my crown'

High maintenance: A friend helps Asha arrange her hair, which she has named Mr Corbra

TV star: Asha featured on My Strange Addiction on TLC on Sunday night
anadai anasikia raha sana watu wakimshangaa nywele zake na kumuulizauliza maswali 
Trail: Asha appeared on the U.S. show My Strange Addiction, which features people with extreme habits

Addicted: Asha refuses to cut her dreadlocks despite it causing her serious neck and back pain

Profile: Each episode features people who turn to strange compulsions to deal with their emotional demons

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger