Home » » TERRIBLE LIFE OF NIGERIAN PROSTITUTES IN ITALY

TERRIBLE LIFE OF NIGERIAN PROSTITUTES IN ITALY

Nigerian Prostitutes In Italy 7

Nigerian Prostitutes In Italy - For nearly twenty years the women of Benin City, a town in the state of Edo, have been going to Italy to work in the sex trade and every year successful ones have been recruiting younger girls to follow them. These girls are working as prostitutes to send money home to their families

Nigerian Prostitutes In Italy 4
So kwa mujibu wa mtandao wa Hope for Nigeria  inasemekana hawa wadada ni wa kutoka huko Nigeria na wamekua wakienda nchini Italy kwa kasi ya ajabu, wasichana hawa hupelekwa or rather huenda  huko kwa matumizi ya bianadamu(kuuza miili yao) na pindi madili ya kujiuza yanapogonga mwamba hivi ndivyo wanavyojikuta wanaishia kuishi, pia inasemekana wanafanikiwa hurudi home na kuwatia wenzao usongo na kuwashawishi nao waende kuko Italy na hatimaye most of them kuishia hivi..
Nigerian Prostitutes In Italy 2

Nigerian Prostitutes In Italy 1

Nigerian Prostitutes In Italy 3
geto la mtu hilo
Nigerian Prostitutes In Italy 6
Ok this is really sad, like mtu unatoka kwenu kwenda Ulaya kwa nia ya kumake better life afu unafika huko ishu inakua sio ishu unaishia kuishi maisha kama hivi, WHY lakini? WHY? yaani ndio kwa mfano imenitokea sina jinsi kabisa huko nilipoenda, mbona ningerudi home haraka sana? sasa unapata shida hivi kisa kusend money home? jamani ingekua mimi ningefungasha haraka sana kwani kuishi ulaya ndio lazima au? mweeh poleni ila binafsi siwezi kulazimisha maisha kiasi hiki, kweli maisha magumu but NO WAY...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Unknown said...

So sad kwa kweli,,ila mimi bado sijaelewa mbona hapo kwenye hizi picha zao zakaa kama wapo nnje??kwani hamna ndani au mahali wanapofanyia hizo kazi zao >? kweli hawa huku ulaya uk ni wale wanaotumia madawa ya kulevya ambao na wengine hujidunga mashindano peke yao kila siku ,so hujilalia popote njiani na kujitafutia hela zao kwa njia yoyote...sasa hawa sijawaelewa kabisa,na ni nani anakuja kulala nao hapo nnje na kuwapa hizo hela za kutuma njiani..yani habari haiendani na hizo picha kabisa......!! huo ni mtazamo wangu lakin"

Admin said...

Yaani mi nahisi hawana sehemu ya kulala sasa ndi wanatafuta vichaka wanalala hapo saa ya kupumzika na ikifika usiku ndio wanajiremba wanaenda kufanya biashara huko na wanalala huko huko mpaka asubuhi, hapo vichakani may be wanarudi kupumzika tu ile saa hawana wataje..it is very sad kwa kweli

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger