Home » » MSICHANA ADAIWA KUBAKWA BAADA YA KUWEKEWA MADAWA YA KULEVYA KATIKA KINYWAJI CHAKE

MSICHANA ADAIWA KUBAKWA BAADA YA KUWEKEWA MADAWA YA KULEVYA KATIKA KINYWAJI CHAKE



Ok so nimeipata hii mitaa ya kati inasemekana mrembo huyu aliyekuwa amepata  mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye  walijuana  katika  birthday pary   ya best yake amekutwa na sheshe la aina yake hapo juzi kati..... 
Inadaiwa shosti huyu  anasifika sana  kwa  KUWACHUNA wanaume  wanaoigia  katika  anga  zake  na  kuingia mitini, juzi alipatikana alipokutana na wajanja wa mujini zaidi yake. Bi dada huyu inasemekana kwa bahati mbaya  msimu  huu haukuwa  wake  baada  ya  kuwekewa  madawa  ya  kulevya  katika  kinywaji  chake na kujikuta amelewa sana hivyo kupelekea kuliwa uroda kwa mafungu bila kujitambua.


Bi shost huyu inadaiwa  hakusoma  mchezo ulivyokua unaendelea kwani alishakua bwax (kalewa) Baada  ya  muda, shostito akajikuta  anakua   hoi  bin  taabani  na  ndipo wavulana hao walipombeba msobemsobe na  kumpeleka chimbo na kujilambia sukari kiulaiiiniiiiii na kisha kumtelekeza kama alivyokutwa hapo 

OK USHAURI WA BURE; 
Dada kwanza pole mwaya; ila kama unapenda kuchuna watu na kuwakimbia unatakiwa ujue rules za kuchuna, HUTAKIWI KULEWA UKIWA KATIKA MCHUNO JAMANI...Hutakiwi kunywa na kujisahau mpk mtu anakuwekea kitu kwa kinywaji chako bila wewe kujua hapo lazima uuze bendi...haya pole thank God u r still alive oo...u no go chop pipo monie egen oo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

heee? bado kuna watu wana tabia ya kuchuna mabuzi mpaka leo? kaazi kweli kweli

Anonymous said...

chuna uchunwe....duuh

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger