Home » » HAPPY FIRST BIRTHDAY TINA-SWEETHOME1 BLOG

HAPPY FIRST BIRTHDAY TINA-SWEETHOME1 BLOG


Yaani mwezi huu raha sana, my birthday was/is this month, my daughter's birthday is this month and my blog birthday is this month as well, mwezi wa pili ni mwezi mzuri kwangu, Napenda kumshukuru sana Mungu kua nami, na pia wasomaji wangu wote nawashukuru kwa kuwa nasi kwa muda wa mwaka mzima, ingawa kutakua pengine kulikua a mapungufu ya hapa na pale, ndio tulikua wachanga na sasa tunazidi kukua tutajitahidi kuwaletea vitu vya ukweli zaidi, Sweethome blog itaanza kuongelea na kupoint out zaidi maswala ya kina mama na mabinti na jamii , Sweethome inaomba ushirikiano wako kama ukipata habari au kitu kinachowahusu wanawake kiwe kizuri au kibaya tunaomba utuemailie kwa anuani sweethometz@rocketmail.com na kila baada ya miezi mitatu kutakua na zawadi nono kwa atakaetutumia habari iliosisimua zaidi, na iliosomwa sana..... Sweethome1 itatoa zawadi kama simu aina ya Blackberry or iPhone na iPad kutokana na uzuri na msisimuo wa habari yako.... tunawashukuru sana wote na tunawaomba mzidi kututembelea site yetu... HAPPY FIRST BIRTHDAY SWETHOME1 BLOG
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY SWEETHOME

Anonymous said...

Tunatumaje hizo habari? na tutajuaje tumeshinda?

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger