Home » » MSICHANA ALIETEKWA KWA MIEZI MINNE NA KUTUMIWA KINGONO HATIMAYE AMEPATIKANA

MSICHANA ALIETEKWA KWA MIEZI MINNE NA KUTUMIWA KINGONO HATIMAYE AMEPATIKANA


Msichana wenye umri wa miaka 16 aliepotea hapo kijijini kwao toka mwezi wa kumi na moja mwaka jana hatimae apatikana. Mtoto huyu alitoweka nyumbani kwao mwaka jana November na kutafutwa kila pande ya kijiji hicho na ndugu na jamaa zake bila mafanikio, amepatikana katika kibanda alichofichwa na watu wanaosadikiwa kumteka na kumfungia huko kinyume na makubaliano huku wakimungilia kama mke wao anytime. Wazazi walitumia njia mbali mbali kumtafuta binti huyo ikiwa ni pamoja na kuwaleta wagana na kwa kuomba sana makanisani  bila mafanikio yoyote na hatimae walikata tamaa kuona kwamba kashakufa, wakaweka na msiba kabisa. Kumbe alikuwa yupo kijijini akiwa kafichwa hapo  kama uonavyo katika picha.
Aliyetekwa[1]
Kwa muda wote binti huyu alikuwa akiishi kwenye hicho kichumba kama mke wa huyo kijana tena akiwa chini ya ulinzi mkali.Akapata na mimba kabisa ya miezi miwili wakamtoa kwa majani ya chai. Binti huyu alifanikiwa kuwatoroka watu walimteka hapo juzi tarehe 26 baada ya kupata upenyo na kukimbia kutoka mafichoni hapo.

baada ya kupatikana binti akioneakana kusononeka mno

Kijana huyu ndio kati ya wanaosadikiwa kumteka binti huyo hapo juu, ni mkazi wa kibaha kijiji cha kidimu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumteka msichana wa kijijini hapo na kumfanya mateka wake.Binti huyo alipotea kwao kwa muda wa miezi minne na kupatikana juzi taehe 26 baada ya kupata upenyo na kutoroka.Hawa vijana wametoka Kigoma na walikuwa Kibaha wakitumika kama walinzi katika mashamba ya watu.

Vijana hao waliomfanyia unyama huo huyo dada inasemekana wapo watatu wanashikiliwa na polisi  tayari kufikishwa mahakamani.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger