Home » » TRENI YA KWANZA YA DAR-UBUNGO YAFANYIWA MAJARIBIO

TRENI YA KWANZA YA DAR-UBUNGO YAFANYIWA MAJARIBIO

   
Naibu waziri wa Wizara ya uchukuzi Dr Charles Tizeba akipanda treni wakati wa majaribio ya mabehewa sita  ya treni yaliyowekwa kati ya kumi na mbili yanayotarajiwa kuwekwa na kuanza kazi rasmi  mwezi wa kumi kwa kupitia Shirika la Reli la Tanzania. Treni hio itapiga trip zake kuanzaia Station Dar es Salaam  pale mpaka Ubungo (umbali wa km 12)
   
Baadhi ya raia wakipanda kwenye moja ya mabehewa kati ya mabehewa sita yaliyowekwa kwa majaribio, ambapo treni hii inatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi wa kumi ikianzia station mpk ubungo...
  
  
  
Baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa Shirika la reli Tanzania wakiwa ndani ya moja ya behewa wakifurahia majaribio ya treni hio.

Picha na Michuzi...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger