Home » » HAYA NI MAANDAMANO YA WANAHABARI JIJINI DAR KULAANI MAUAJI YA MWANGOSI

HAYA NI MAANDAMANO YA WANAHABARI JIJINI DAR KULAANI MAUAJI YA MWANGOSI

         













WANAHABARI jijini Dar es Salaam leo wameandamana kutoka Kituo Cha Televisheni cha Channel Ten na kuhitimisha maaandamano yao katika Viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kulaani mauji ya kikatili aliyofanyiwa mwandishi mwenzao, Daudi Mwangosi wa Kituo cha Chanel Ten mkoni Iringa. Katika Maandamo hayo Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emannuel Nchimbi alifika Viwanja vya Jangwani kupokea maandano hayo lakini alitimuliwa na wanahabari.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emannuel Nchimbi akiongea na wanahabari hao 

PICHA ZOTE KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

1 comments:

Anonymous said...

Tanzania hakuna haki, nchi imebadilika imekua km sio tanzania tena, wasio na hatia wanauliwa wenye hatia huru mitaani, SMH........how crazy is that?

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger