Home » » DAAH... NIMEOGOPAJE SASA??

DAAH... NIMEOGOPAJE SASA??


Looh katika pita pita zangu nimekutana na hii picha jamani, huyu shost hata simjui ila naona kaandikwa hapo sijui ndio baby Mandaha, jamani jamani sijajua bado anashughulika na nini huko bongo huyu dada, ila nahisi ni selebliti wetu huko tz, jamani jamani kwanini amejiweka namna hii? hio miwanja kwanza mwingine mrefu mwengine mfupi sijui umfutika afu hio mikope,,,,,uuwwiii hivi nani kawaambi hio mikope inawapendezaga jamani?? maana siku hizi kila selebliti na mikope kaa miguu ya nzi..... sasa huyu mikope, miwanja nusu nusu, na hizo blonde hair sasa hahahahahhaaha uuwwwiiiii hivi hamnaga washauriiiiii? unakubalije kutokea kwenye u-kodak katika hali kama hiiii? bwahahahahha uuwwii MI HOI pyuuuuuuuu
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Hihihihihiiiiiiii we Tina mgomvi jamani,kama hana kioo kwao je? jamani kweli wanatishaga mi kuna mmoja nilimuona juzi live kidogo nipige kelele kaa jini

Anonymous said...

Doooh mmmh huo wanja hehehehehe unaitwa sina bwana mie

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger