
Huyu ni LAMECK DITTO mwana music wetu wa Tanzania kama tunavyomjua, amefanikiwa kunominatiwa kwenye bonge la shindano nchini France, please wadau bofya link hio hapo chini na tumpigie kura aweze kwenda kuwakilisha na kushinda jamani please it only take 2mins please VOTE FOR DITTO ndugu zanguni........asanteni sana
RFI-France24 Award 2012 Piga Kura kwa Lameck Ditto, Piga Kura kwa Tanzania...
http://mobile.english.rfi.fr/node/137503
"Support your local team" Support team Ditto
0 comments:
Post a Comment