CHECK VIDEO YA WILL SMITH ALIPOMPA KIBAO JAMAA ALIYETAKA KUM-BUSU KWA MDOMO...lol

WILL SMITH SLAPS UKRAINIAN REPORTER WHO WANTED TO KISS HIM


Will Smith just slapped a Ukrainian reporter across the face at the Moscow premiere of “Men in Black 3″ — and it was all caught on tape.

The Ukrainian reporter tries to kiss Will on the lips on the red carpet and the actor angrily pushes him away and then backhands him across the face.
You can clearly see that Will is incredibly pissed that the guy showed overt affection toward him.

After Will slaps the guy, Will says, “He’s lucky I didn’t sucker punch him.”
We’re told the dude who kissed Will is a television reporter who often kisses celebrities, it’s his schtick.

For the record, Will just came out in support of gay marriage.
A source on scene tells TMZ, the reporter’s mouth brushed up against Will’s and that’s why the actor reacted so violently. Despite the incident, Will stayed positive … and happily continued to sign autographs for fans and do red carpet interviews.

Source: TMZ

MTOTO AZALIWA HUKU KASHIKA QURAN HUKO NIGERIA


END OF THE ROAD

Tina naomba uweke hii kwa sweethome,  nahitaji msaada ila kama sitapata ushauri wa maana  mnaweza kusikia msiba wa msaani mwingine very soon


Mimi ni msanii ya bongo movie(jina kapuni) kama unijuavyo ingawa nimekua kimya sana siku hizi kutokana na matatizo ya kifamilia yaliyonikumba hivi karibuni.


Mwishoni mwa mwaka 2010 wakati nipo very busy na ninafanya vizuri tu kwenye swala zima la filamu, niliamua kumchukua mdogo wangu toka kijijini aje dar kusihi nami maana maisha yangu yamekua mazuri na nilitaka kuwapunguzia wazazi mzigo wa malezi. Basi dogo kaja tukaishi kwa vizuri  bila tatizo, ila baada ya kama miezi kadhaa nikamuona ameanza kuchangamka sana tofauti na alivyokuja, ila on the other hand nikajua aah jiji tu limemkubali . loooh..... kumbe usilolijua ni kama usiku wa kiza, mdogo wangu amekua nauhusiano wa kipamapenzi na mchumba wangu right under my nose, na sikujua kabisa na isitoshe she is only 17. 


Sasa juzi kati mchumba (jina kapuni maana pia nyinyi mnamjua ni mwana bongo muvi pia) namuona ameanza kunidharau na kila nikipika hali na kuna vimanenoneno amekua akivisema kila mara ambavyo vikawa vinanifanya nikose raha, eti tukigombana kidogo tu anasema, '' mmh hatujaoana unaanza visa hivi sasa tukioana kweli hapo nitaacha kulala nje?''.  Halafu nikimuuliza amesemaje? anasema harudii mara mbili mbili, wakati alikua hanijibu kabisa hivyo.


Ikabidi nichunguze nijue ni nini kilichomfanya abadilike hivi wakati alikua ananiheshimu tunaheshimiana sana, hawezi kufanya kitu bila kushauriana, tumekua pamoja kwa muda mrefu sasa ingawa watu wengi hawajui ila hii ishu inaweza kuzua makubwa na nimeona niombe msaada, sasa . Juzi narudi kutoka meeting ya kuhusu filamu flani mpya inayotegemea kutoka mwisho wa mwezi huu namkuta mjamaa na mdogo wangu kwa bed  yangu,  sikuamini macho yangu, nikasimama hapo km dk 5 nzima na wao hawakusoge wala kujigusa mdogo wangu anaonekana kuogopa ila jamaa anaonekana hana wasiwasi hata tone moja, wakati nimesimama pale nawaza nikachukue kisu niwachomechome wote na mm niunge segerea au nifanye nini? nikaamua kutoka nje wala mjamaa hakunifata basi, nikaamua kutoka kwenda kwenye kipab kimoja mitaa ya Sinza nikakaa nakunywa sana, na mpaka kesho yake najikuta nyumbani sijui nimefikaje na sina simu zangu hata moja, mdogo wangu hayupo sijui kaenda wapi na inasemekana ana mimba kutokana barua alioniachia nilioikuta huko chumbani kwake.


Tatizo ni sisi tulishaambiwa na tunajua kwamba tumeadhirika na hata tulipokua tunataka kuoana tulikua tusizae , sasa kwanini jamaa kanifanyia hivyo kwa mdogo wangu? kwanini kalala na kumtia mimba mdogo wangu ilhali anajua hali yetu kiafya? mtu km huyu ninamfanyeje? au nijimalize tu mwenyewe ili nisiishi kuona mdogo wangu anateseka? yaani hapa hata sina nguvu hata moja ya kuendelea na filamu tena, mdogo wangu sijui alipo na wala sitaki kumtafuta maana sijui nitamfanya nini? na huyo jamaa nani atamuhukumu jamani naombeni ushauri wenu, sikuweza kutuma barua hii ktk blog mbalimbali za hapa Dar maana wanatujua wataanza kusambaza maneno kabla sijapata suluhu... naombeni ushauri kabla hamjazika msanii mwingine au wengine soon...


Please sweethome adimn ficha  jina na email yangu

MATAJIRI WENYE UGLY FEET ....lol

Naomi Campbell

MATAJIRI WENYE UGLY FEET ....lol

Iman the Super Model

INGAWA NA PESA ZOTE ZILE, OPRAH ANA MIGUU NA VIDOLE VYA MIGUU VIBAYA SANA

Jamani watu wafukunyuku kweli wamemchunguuza mama wa watu na kutupatia hio picha eti why Oprah hatengenezi miguu yake na mapesa yote hayo aliokua nayo? Wamarekani wadaku wamemfukunyua Oprah na kumuweka katika list ya matajiri duniani wenye miguu mibaya  sana na mbali na pesa zao wameshindwa kuitengeneza miguu hio.

Hehehehe mi nimeiona hii nimecheka jamani si mmuache mtu na miguu yake ? km ye haoni tatizo nyie inawawashia nini hehehehehe mweeh, kweli udaku its a full time job...

AMERICAN IDOL RESULTS: JOSHUA GOES HOME, REALLY?


For weeks now on "American Idol," it seemed like Joshua Ledet was the Season 11 contestant to beat the judges certainly thought so, anyway. Steven Tyler once said Joshua was "one of the top two Idols of all time," Randy Jackson declared him "one of the best singers ever on this show," and Jennifer Lopez even called him "one of the best singers of the past 50 years." Joshua even received no less than sixteen standing ovations throughout the season. But apparently ovation number 16 was not so sweet--because this week, Joshua "Mantasia" Ledet narrowly missed making the finale, shockingly going home in third place, leaving Phillip Phillips and Jessica Sanchez as the final two.
This was wrong. Just WRONG. Apparently, it's a man's, man's, man's world...but not a Mantasia's world.
Whatever the reason, I'm just deeply saddened that this phenomenal talent didn't make it all the way to the very end. While Phillip Phillips is an undeniably great performer, and Jessica Sanchez is an undeniably great singer, Mantasia was the one Season 11 contestant who always combined both qualities in one dynamite package.
DEEP INSIDE YOUR HEARTS YOU TRULY KNOW JOSHUA WAS THE WINNER, YOU AMERICAN IDOL MANAGEMENT STOP BEING RACIST AND STOP WASTING PEOPLE'S TIME, AM SOOOOO DAMN MAD

BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZAIA AKWAMA KATIKA LIFT



Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt (nyuma) akiwa amekwama kwenye lifti ya jengo la Wizara ya Nishati na Madini, jijini Dar es Salaam jana, alipokwenda kumtembelea Waziri wa wizara hiyo, Prof Sospeter Muhongo. Picha ndogo watu waliokuwemo kwenye lifti hiyo wakijalibu kufungua kwa mkono baada ya kukwama


BALOZI wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt jana alikwama ndani ya lifti katika Jengo la Wizara ya Nishati na Madini, Dar es Salaam kwa takriban dakika 20.

Balozi Lenhardt akiwa  na ujumbe wake wa watu wawili,  walikumbwa na mkasa huo mchana wakati wakienda kukutana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Mbali na Balozi Lenhardt na ujumbe wake, pia kulikuwamo na watu wengine wakiwemo maofisa wa wizara hiyo na kufanya jumla ya watu saba kukwama kwenye lifti hiyo.

Saa 7:58 mchana mwandishi wetu alipofika wizarani hapo, alimkuta balozi huyo na wenzake hao wakiwa wamekwama ndani ya lifti hiyo katika ghorofa ya kwanza huku ofisa wa mapokezi wizarani hapo akihangaika kufanya mawasiliano na mafundi.

Mmoja wa wafanyakazi wa wizara hiyo alifanikiwa kuifungua na kuacha uwazi wa kama sentimita 10 na kisha kuweka kibao ambacho kiliifanya iwe wazi lakini bila ya kuwawezesha waliokuwamo ndani kutoka. Hatua hiyo iliwawezesha Balozi huyo na wenzake walau kupata hewa wakati wakisubiri hatua zaidi za kuwakwamua. walibaki humo hadi ilipotimu saa 8:14 mchana walipokwamuliwa baada ya mafundi waliokuwa wamefika muda mfupi kabla, kufanikiwa kuifungua.

Kutokana na tukio hilo, mkutano wa Balozi huyo na Waziri Profesa Muhongo uliokuwa umepangwa kuanza saa 8:00 ulichelewa kwa zaidi ya nusu saa kusubiri wageni hao wakwamuliwe. Ingawa hakuna ofisa wa wizara hiyo aliyekuwa tayari kuzungumzia mkasa huo wa kukwama kwa lifti hiyo, ilielezwa kwamba tatizo hilo limetokana na lifti hiyo kuwa mbovu.

Mmoja wa wafanyakazi wa wizara hiyo ambaye hata hivyo, jina lake halikuweza kupatikana mara moja alisikika akisema kuwa lifti hiyo ina kawaida ya kukwama.

Baada ya kufanikiwa kutoka, Balozi huyo na maofisa aliokuwa ameambatana nao pamoja na maofisa wengine wa wizara waliingia katika chumba cha mkutano na kuendelea na mazungumzo. 
Hata hivyo, kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo, Waziri Profesa Muhongo alimtaka radhi Balozi Lenhardt na ujumbe wake kwa tukio hilo lakini akamtania kuwa bila shaka amepata uzoefu wa tatizo la nishati nchini, maelezo ambayo Balozi huyo aliyeitikia huku akicheka.

Mweeh aibuje..??? 

Habari na James Magai 
Picha na  Michael Jamson
Source : Mwananchi

NDEGE YA AIR TANZANIA YAFANYIWA WELCOM BACK PARTY

C.E.O Paul Chizi(mwenye suti nyeupu) akiizindua rasmi ndege hio jana kwenye halfa fupi iliohudhuriwa na baadhi ya wafanyakzai wa Air Tanzania.

Ndege hio aina ya BOEING 737-500 inatarajiwa kuanza safari zake za DAR-MWANZA week ijayo

Picha na habari kwa hisani kubwa ya http://bongoclan.blogspot.com/

TATIZO LA UFINYU WA BARABARA BADO KITENDAWILI TZ

Tatizo la ufinyu wa barabara na foleni nchini Tanzania litaisha lini jamani? foleni hizi ni la muda mrefu hata sijui Serikali km limeshawahi kuliongelea hili. Hii ni picha ya leo jioni maeneo ya Palm beach aliepiga picture hii anasema alikaa hapo kwa foleni takriban lisaa lizima na nusu, mweeh

TEXAS MOM KILLED HER BABY DADDY ON MOTHER'S DAY 4 CHEAP GIFT


A woman stabbed the father of her children several times on Sunday evening when he gave her a cheap mother’s day present that she did not like, according to police. Paige Parkerson, 20, from Jefferson County, was arrested and charged with first-degree murder in the death of her live-in boyfriend Clifton JR Barkin, 22. Police were called to the house by his mother Evetta Wright, shortly after she got a phone call from Parkerson allegedly confessing to the crime. She told the Houston Chronicle: ‘Paige told me she killed JR, that he was dead.’
 Mrs Wright had just dropped her son off at the house at 11.30pm on Sunday and that was after taking him to Wal-Mart to buy flowers and a Mother’s Day card for Paige. Barkin, 22, was stabbed several times and died just after midnight in the backyard of his yellow rental house. Mrs Wright said she believes Parkerson expected a more expensive gift, such as jewelry.


Uuuuwwiii she is so crazy, she has to rote in hell, mweeh

HAPPY 46 BIRTHDAY JANETH JACKSON

JANET JACKSON AND HER FIANCE ON HER BIRTHDAY

Mbali na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa jana May 16 2012 Janeth Jackson (46) alisherehekea engagement yake na billionera Wissam Al Mana(36)  ambapo inasemekana wapenzi hawa mekua na mipango ya kuoana kwa muda sasa ila Janeth alikua na kibarua cha kulose weit ili afit kwenye gauni lake la harusi vizuri jambo ambalo alifanikiwa kulose pound 30 na kuonekana mwenye furaha sana.


National Enquirer inareport kuwa inasemekan  Janet and Wissam,  wana-make arrangements to raise her beloved late brother MICHAEL’s children — PRINCE, 15, PARIS, 14, and BLANKET, 10 once her elderly mother KATHERINE can no longer care for them.


Sweethome inawatakia Janeth na Wissam all the best katika plans  zao za maisha.


Source:National Enquirer 

MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE KWA AJILI YA HAIRCUT

Mwanafunzi Gonzalez alijikuta akipewa mkwala mkubwa na mkuu wa shule yake kwamba ndani ya siku mbili  mkato huo urekebishwe ama sivyo atapewa suspension kwani haircut hio inasababisha wenzake wasiconcentrate na kuwadistruct kila mara wamuonapo, kwani kila mtu akimuana haachi kusema jambo.

I had to share this photo with my readers jamani sio kwamba habari ya kusimamishwa shule mtoto huyo imenishangaza...la hasha, kilichonivutia ni utaalamu wa huyu aliyemnyoa huyu dogo, jamaa  bonge la artist aisee...

HAYA MKISIKIA MWISHO WA DUNIA NDIO HUU, MTU ABAKA BATA

Kama ulisikiliza hekaheka za leo katika leo tena!!


Hii imetokea jijini Dar es salaam jana asubuhi njemba imekutwa ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na kuingia nae chumbani kwake na kumfanya kitendo  hicho  cha kinyama kwa ndege huyo


Inasemekana bata huyo ni wa famili ya huyo mchizi, na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu za fasta fasta pindi alipomuingiza bata huyu kwa rum yake. Alipokutwa na kuulizwa kulikoni (sijui watu walijuaje) hakukataa alielezea kila kitu kuwa alikuwa kazidiwa.Wananchi wenye msisitizo mkali walimbeba bila msamaha  na kumpeleka kituo cha polisi na mpaka dakika hii haijajulikana kesi inaendeleaje.


Na wadau walipoenda mtani kwao kufatilia kilichotokea, wana mtaa wanasema hawataki hata kumsikia tena mtaani hapo asije kuwabakia watoto wao bure.


Uwwii angekua huku huyo angefungwa km amebaka mtu unaambiwa huku mnyama na mtu haki sawa ila kwetu sijui inakua vipi hapo...


Source ya habari: Dina Marios Blogspot.com

MKE, NDUGU NA MASHABIKI WAMLILIA SAJUKI

Mke wa Sajuki akitokwa na machozi

HATIMAYE SAJUKI AENDA KUTIBIWA INDIA

Msanii Sajuki akiagwa juzi jumapili iliopita kuelekea nchini India kwa matibabu katika Hospital ya Apolo.

Sajuki ambae alikua akiumwa kwa muda mrefu sasa, amefanikiwa kuondoka kwenda nchini India kwa matibabu ya ugonjwa wa uvimbe kwenye ini ambao umekua ukimsumbua kwa muda mrefu  sasa. Safari hio imefanikiwa baada ya watanzania kumchangia pesa msanii huyo na kumuwezesha kutimiza kiasi kilichohitajika kwa ajili ya matibabu hayo.


Sajuki ambae amedhohofika kiasi kwamba hawezi kutembea wala kuongea, alishindwa hata kuwapungui watu mkono wa bai pale airport ya Dar es Salaam wakati akiondoka, jambo ambalo liliwahuzunisha watu na kufanya waangue vilio maana ilionekana wazi Sajuki alikua katika hali mbaya sana.


Tunamuombea Sajuki apone haraka na kurejea nyumbani akiwa na mzima kabisa.


Habari zaidi na picha zaidi ingia: Global Publishers ..

MWANAMKE AUWA WATOTO WAKE WA4 NA KISHA KUJIUA MWENYEWE



In the middle of the night, Tonya Thomas' neighbors awoke to the sound of a gunshot and moments later heard a knock on their door.
Three of Thomas' four children were outside, including one who appeared to have been shot. Before the neighbors could offer help, Thomas came out of her house and called the children back home.
They complied. The neighbors dialed 911 after hearing more gunshots.
Brevard County Sheriff's deputies found Thomas, 33, dead of an apparent self-inflicted wound and three of her children — Jaxs Johnson, 15; Jazzlyn Johnson, 13; and Joel Johnson, 12 — were fatally shot inside the house. A fourth child, Pebbles Johnson, 17, was found shot to death in the front yard of a neighbor's house.
Investigators said they didn't know a motive for the shooting and weren't sure why the children followed their mother's orders to return to the house.
"From what the neighbors said, she was very calm. She walked out and called them back. They turned around and walked back to the house," said sheriff's spokesman Lt. Tod Goodyear.
Another neighbor told deputies Thomas sent a text message in the middle of the night saying she wanted to be cremated with her children.
"He didn't see the text until he woke up this morning," Goodyear said.
The shooting happened in Port St. John, about 15 miles west of Cape Canaveral in an area known as the "Space Coast" because it is the home of NASA's Kennedy Space Center, the location of numerous shuttle launches.
Authorities went to Thomas' house on three successive days last month, according to dispatch records released Tuesday.
In the first visit, on Easter Sunday, Thomas reported that her son had thrown a bicycle through a window at the house. The next day, she called to report that her son had kicked and punched her when she tried to wake him up for school.
The following day, child welfare investigators visited the house to look into allegations of inadequate supervision of the children.
The Department of Children and Families was following up on a report on a Johnson child who had been released from a detention facility and hadn't been picked up by a caretaker, DCF spokeswoman Carrie Hoeppner said in an email.
Records showed Thomas was arrested in 2002 on a misdemeanor battery charge for striking Joe Johnson, the father of her children. The charge was later dropped. Two years earlier, she filed a domestic violence complaint against Joe Johnson, but that was dismissed after a hearing.
Jamie Hudson, whose mother lives two doors down from the family, said the boys in the family were known to shoot BBs at a home across the street and had threatened to set it on fire.
"It has been an ongoing problem on our street with them," Hudson said.
Goodyear said Jaxs Johnson had recently been arrested on a domestic violence charge. He said he didn't know if the boy had been accused of hitting his mother or causing damage at the house.
Austin Lewis, a 16-year-old classmate of Pebbles Johnson, said the family "had problems like everybody else but nothing that drastic."
He described Pebbles Johnson as "very loving and caring.", "Always with a smile," Lewis said. "Didn't let anything affect her. She was always in a good mood."
Source: Brevard County daily news press

Khaa.....!! huu uongo sasa

Jamaa  kajipumzikia mwenyewe katikati ya jiji....... sasa hapa  ndio kakaaje jamani mbona tunadanganyana lol heheheheheh duuuh hii kali

CO-FOUNDER WA FACEBOOK AUKACHA URAIA WA MAREKANI

Co-founder wa facebook a.k.a aliyesaidiana na Mark Zuckerberg kuvumbua mtandao wa kijamii wa facebook  Eduardo Saverin ambaye ni mzaliwa wa  Sao Paul, huko Brazil ameukacha na kuurudisha uraia wa Marekanni juzi kati kwa madai kwamba amechoshwa na Wamarekani kumkata tax kubwa sana in the name of American citizenship. 


Mr Eduardo aliamua kuurudisha u-citizenship wa marekani juzi kati na kuamua kuhamia Singapore maana ameona isiwe tabu kulipa mahela meengi ya tax kisa Umarekani lol. Eduardo amesema sio swala la tax tu, pia inasemekana Marekani inaweka masharti makali sana kwa foreign investors na kufanya investor wengi kukata tamaa na masharti hayo makubwa nchini marekani. 

MY PHOTO OF THE DAY

BAD NEWS, WASHIRIKI WETU WA BBA WATOLEWA KTK JUMBA HILO

I mean seriously wanachaguaje km bahati nasibu na kutoa watu wote wawili wa nchi moja? mi wameniboa kweli, wanatuogopa wanajua tungechukua mshiko tena, haya Julio na Hilda welikam back home msijali mmeshauza sana sura, ALL THE BEST katika shughuli zenu zingine za maisha.....


                                         **PROUDLY TANZANIAN**

MY SPECIAL WOMAN ON EARTH

HAPPY MOTHERS DAY MY LOVELY MOM, IF I START WRITING HOW MUCH II LOVE YOU AND MISS YOU AND CHERISH YOU, THIS PAGE WONT BE ENOUGH, I JUST WANNA SAY I LOVE YOU SO VERY MUCH AND CANT WAIT TO SEE YOU SOON MOM......LOTS OF HUGS AND KISSES FROM ME AND LIL MANDY......
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger