Kuna tabia imepamba moto kutoka kwa wamachinga wauza muvi mbalimbali nchini zikiwa ni pamoja na zile movie maarufu za kibongo, ya kuweka picha feki za wasanii wa bongo na kusambaza Cd zenye picha za wasanii hao kwa nje ya kava na kujidai na kukuconvince kwamba wasanii hao ndio wapo kwenye muvi hizo za X ili kupata wanunuzi wengi.
Habari toka gazeti la Ijumaa la nchini Tanzania limeongelea tabia hii ya kuchafua wasanii wa Bongo Movies nchini Tanzania na ilifanikiwa kuzungumza na baadhi ya wasanii waliochafuliwa akiwemo Wema, Aunt Ezekil and bi shost Lulu; ambao wote walionekana kuchukizwa na hili jambo na kusema wanalifuatilia ili kuwakomesha hao wanaowashushia point / kuwaharibia cv katika jamii kiasi hiki..
Blog ya sweethome imekerwa sana na tabia hii na inaomba kutokee maloya a.k.a mawakili a.k.a wanasheria a.k.a watetea haki za watu wawatetee wasanii hawa na kuwatia mbaroni watu hao maana hii ni ukiukwaji wa sheria....
Home »
» MASTAA WA BONGO KUEKTI 'X'..??!!
MASTAA WA BONGO KUEKTI 'X'..??!!
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment