Home » » HATIMAYE SAJUKI AENDA KUTIBIWA INDIA

HATIMAYE SAJUKI AENDA KUTIBIWA INDIA

Msanii Sajuki akiagwa juzi jumapili iliopita kuelekea nchini India kwa matibabu katika Hospital ya Apolo.

Sajuki ambae alikua akiumwa kwa muda mrefu sasa, amefanikiwa kuondoka kwenda nchini India kwa matibabu ya ugonjwa wa uvimbe kwenye ini ambao umekua ukimsumbua kwa muda mrefu  sasa. Safari hio imefanikiwa baada ya watanzania kumchangia pesa msanii huyo na kumuwezesha kutimiza kiasi kilichohitajika kwa ajili ya matibabu hayo.


Sajuki ambae amedhohofika kiasi kwamba hawezi kutembea wala kuongea, alishindwa hata kuwapungui watu mkono wa bai pale airport ya Dar es Salaam wakati akiondoka, jambo ambalo liliwahuzunisha watu na kufanya waangue vilio maana ilionekana wazi Sajuki alikua katika hali mbaya sana.


Tunamuombea Sajuki apone haraka na kurejea nyumbani akiwa na mzima kabisa.


Habari zaidi na picha zaidi ingia: Global Publishers ..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger