Blog hii hairuhusu ukandamizaji au uchafuaji wa majina ya wasanii wa bongo bali ipo mahususi kuwasapoti na kuwatakia kila la kheri katika kuendeleza vipaji vyao ili kukomboa Taifa na umasikini ulio kithiri, sasa hii tabia ya vibifu vya wasanii sijui ugomvi kugombania wanume sijui kugombania wanawake jamani mi naona km bonge la ushamba flani...
sijui wanafanya hivi kuongeza promo au kuwa maarufu zaidi au ni nini? mi binafsi sifagilii kabisa hii tabia..na ninaikemea vikali na kuwasihi wasanii wa Tanzania wapendane na kuungana ili watoe vitu vya ukweli; muvi zenyewe sio kama ndio kiwangoo kiviiile .....sasa instead ya kujiunga pamoja na kushauriana wafanye nini wawe matawi ya kimataifa wao wameridhiika na local image tuu na kuanza bifu sijui vegetable wenyewe.....acheni kupoteza muda katika malumbano yasiyo na msingi wajameni.....pataneni na mfanye kazi tuwape sapoti tusonge mbele....MWEEEHHHH...!!??
Home »
» Wasanii wa bongo na majungu
Wasanii wa bongo na majungu
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
2 comments:
ni kweli usemavo Tina, wasanii wa Bongo wanajiharibia wenyewe sifa na heshima ktk jamii kutokana na mambo wa kipuuzi wafanyayp hadhari, Sanaa ni mojawapo ya njia ya kuelimisha jamii sasa km wao ndo elimu wanayotoa sijui kizazi chao(if they will ever have kids!) kitakua vipi.
Mungu ibariki Tz jamani,,,
Uko sahihi tina wasanii badala ya kuendeleza sanaa wanaendeleza bifu tu kila kukicha wanaibomoa sanaa yao
Post a Comment