Home »
» STOP JOSEPH KONY
STOP JOSEPH KONY
Joseph Kony is the leader of Lord's Resistance Army or LRA ya huko nchini Uganda
Kony na kikundi chake cha LRA kimekua tishio kubwa la amani nchini Uganda kwa muda mrefu sasa. Muasi huyu amekua akitafutwa na International Criminal Courts kwa uhalifu mkubwa na mauaji mengi against humanity nchini Uganda.
Ni wazi kabisa kwamba mzee Museveni ameshindwa kumkamata mjamaa huyu ambaye ambaye amekua akitishia amani nchini Uganda kwa kipindi kirefu sana. Kony na kundi lake amekua akiingia nyumba hadi nyumba na kuuwa wazazi wa familia mbambali na kujeruhi vibaya watoto na kuwabaka watoto wa kike na kuwatishia maisha watoto wa kiume na hivyo kuwalazimu kujiunga na kundi lake hilo na kuendeleza uasi na maafa nchini Uganda hasa hasa Kaskazini mwa nchi hiyo huku Guru..
Kony amekua akiwatesa sana watu wa Northern Uganda na kuwafanya sex slaves(kwa wasichana) na child soldiers (kwa watoto wa kiume)
Sasa bila ya kuendelea kulalama hapa kirefu najua watu wengi sana duniani wanajua kuhusu huyu mjamaa, sasa hawa Wamarekani wameshalisikia hili kwanini hawaingilii kati hili swala na kumtia mbaroni huyu mtu maana nasikia wao ndio maarufu kwa kukeep peace duniani mbona huyu hawamkamati??
Just thinking .....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment