Home »
» Kikao cha kuongelea kusitisha mgomo....
Kikao cha kuongelea kusitisha mgomo....
Rais wa Chama cha Madaktari nchini (MAT)Dk. Namala Mkopi(kulia) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Don Bosco,jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuzungumza na madaktari kuhusu kusitishwa kwa mgomo wao baada ya viongozi hao kukutana na Rais Jakaya Kikwete juzi .
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment