Hili swala la giza Tanzania litaisha lini wajameni? au wananchi mmeamua kuchukulia poa tu.....?? maana hadi raha unaambiwa, juzi na jana naskype na ndugu zangu home huko giza mtindo mmoja yaani nawaona vimacho tu...
mweeh hivi kweli Tanzania sisi ni watu wa kutokuwa na umeme kila mara kiasi hiki...!!?? mweeeh....!!??
haya bana mi nishachoka hata kuongelea swala hili, endeleeni tu na mgao na endeleeni tu kujigawia nyie wenyewe...
Home »
» BONGO GIZA KAMA KAWA
BONGO GIZA KAMA KAWA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
3 comments:
Tanzagiza.......Tanzania bila umeme tutaweza tu hahahahaha duuh shughuli tunayo
Tina tushazoea giza nchi mpaka tunakiwa weusi kama giza kwa jinsi tulivyozoeagiza
mweeh...!! basi kazi na job ipo
Post a Comment