Home » » BONGO GIZA KAMA KAWA

BONGO GIZA KAMA KAWA

Hili swala la giza Tanzania litaisha lini wajameni? au wananchi mmeamua kuchukulia poa tu.....?? maana hadi raha unaambiwa, juzi na jana  naskype na ndugu zangu home huko giza mtindo mmoja yaani nawaona vimacho tu...
mweeh hivi kweli Tanzania sisi ni watu wa kutokuwa na umeme kila mara kiasi hiki...!!?? mweeeh....!!??
 haya bana mi nishachoka hata kuongelea swala hili, endeleeni tu na mgao na endeleeni tu kujigawia nyie wenyewe...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

3 comments:

Anonymous said...

Tanzagiza.......Tanzania bila umeme tutaweza tu hahahahaha duuh shughuli tunayo

Anonymous said...

Tina tushazoea giza nchi mpaka tunakiwa weusi kama giza kwa jinsi tulivyozoeagiza

Anonymous said...

mweeh...!! basi kazi na job ipo

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger