Home » » Wasanii wa bongo na majungu

Wasanii wa bongo na majungu

Blog hii hairuhusu ukandamizaji au uchafuaji wa majina ya wasanii wa bongo bali ipo mahususi kuwasapoti na kuwatakia kila la kheri katika kuendeleza vipaji vyao ili kukomboa Taifa na umasikini ulio kithiri, sasa hii tabia ya vibifu vya wasanii sijui ugomvi kugombania wanume sijui kugombania wanawake jamani mi naona km bonge la ushamba flani...


sijui wanafanya hivi kuongeza promo au kuwa maarufu zaidi au ni nini? mi binafsi sifagilii kabisa hii tabia..na ninaikemea vikali na kuwasihi wasanii wa Tanzania wapendane na kuungana ili watoe vitu vya ukweli; muvi zenyewe sio kama ndio kiwangoo kiviiile .....sasa instead ya kujiunga pamoja na kushauriana wafanye nini wawe matawi ya kimataifa  wao wameridhiika na local image tuu na kuanza bifu sijui vegetable wenyewe.....acheni kupoteza  muda katika malumbano yasiyo na msingi wajameni.....pataneni na mfanye kazi tuwape sapoti tusonge mbele....MWEEEHHHH...!!??
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

ni kweli usemavo Tina, wasanii wa Bongo wanajiharibia wenyewe sifa na heshima ktk jamii kutokana na mambo wa kipuuzi wafanyayp hadhari, Sanaa ni mojawapo ya njia ya kuelimisha jamii sasa km wao ndo elimu wanayotoa sijui kizazi chao(if they will ever have kids!) kitakua vipi.
Mungu ibariki Tz jamani,,,

Anonymous said...

Uko sahihi tina wasanii badala ya kuendeleza sanaa wanaendeleza bifu tu kila kukicha wanaibomoa sanaa yao

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger