Home »
» MMH TANZANIA KILA SIKU MAJANGA MAPYA YANAZUKA...HILI NALO SIJUI PEPO GANI TENA....
MMH TANZANIA KILA SIKU MAJANGA MAPYA YANAZUKA...HILI NALO SIJUI PEPO GANI TENA....
TAARIFA MUHIMU:
Kuna muuwaji ameibuka jijini Dar kwa sasa, leo ameuwa mtu mmoja maeneo ya Kinondoni. Amempiga risasi ya kifua Mtu mmoja ndani ya gari alilokuwa anaendeshawa kwenye Barabara ya Kinondoni, katikati ya Mkwajuni na Magomeni. Tukio kama hilo lilitokea Juzi kwenye Barabara ya Bagamoyo, Muuwaji huyo ni mwembamba na huendesha Pikipiki. Ni vyema mkawa makini mnapokuwa mnaendesha Magari, maana chanzo chake kikuu huwa ni kusababisha Ajali na punde unapoanzisha mabishano nae huamua kutoa Bastola na kumpiga risasi Dereva.
Tafadhali, tusaidiane kusambaza ujumbe huu kwa wote tunaowajali na kuwapenda.......!
*******************************
Sasa nimeskia hii habari tokea juzi, tena nimeisoma kabisa huko GPL kua kuna jamaa mmoja kamshuti dereva wa dala dala huko Sinza kijiweni kisa anadai alizuiwa njia, na huyu jamaa yupo kwenye pikipiki , yaani ye ugomvi wake anakuambia unamziba barabara ukijidai kubishana nae anatoa bastola anakushut, sasa huyu pepo wa namna hii mapolice washasikia matukio kama mawili bado hawajamkamata kwa nini? uuwwii watu siku hizi hawana hata raha jamani heee , huko Bongo siku hizi utasikia mara kutekwa, mara kuchinjwa, mara kumwagiana petroli na sasa kupigwa risasi, haya mauajia ya kipepo yametokea wapi huko Tanzania jamani mweeh? mnatuogopesha hata sisi kurudi home uuwwiii, somebody do something oo***** SMH very sad :(
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment