Kushoto
ni mtoto Aneth akiwa amesimama huku mkono wake uliyo unguzwa ulivyo
kuwa unaonekana mara baada ya tukio hapo juzi. Kulia mtoto Aneth
anaonekana akiwa amelaza katika hospitali ya Rufaa Mbeya mara baada ya
kukatwa mkono wake wa kushoto. Kwa habari kamili kuhusu mkasa huu bofya hapa
Kusema
ukweli haijalishi huyu mtoto alifanya kosa gani hakusatahili adhabu
kama hii na hatimaye kupoteza mkono wake. Hivi kweli atakuja kumsamehe
huyo mama yake mdogo? Kuna binadamu wakatili sana duniani hapa. Mungu
atusaidie na kutupatia roho za upendo na huruma. Ni matumaini yangu
sheria itachukua mkondo wake na huyo mama aadhibiwe ipasavyo.
Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog
1 comments:
Huyo mwanamke jamani!!! khaaa hata huruma, Popote alipo saa hizi roho inataka kumtoka kwaibu, Mfyuuuuuuuuuu
Post a Comment