Home » » MITINDO NITE -3 USA

MITINDO NITE -3 USA

TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA "MITINDO NITE -3" USA YANAYO FANYIKA KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC AMBAYO HUANDALIWA NA DESIGNER MAARUFU MA WINNY NA J &P ENT.MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA  KUNA MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA  NA CARIBBEAN PAMOJA NASUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY",UKUMBI WA KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE " HAFSA KAZINJA". MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA LIVE NA VIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWA SUNDAY SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA & MS KAYA !
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger