Mwili wa ajuza wa miaka 95 anayedaiwa kuzikwa akiwa hai na jamaa zake umefukuliwa hivi leo, huku kukiwa na dalili huenda bibi huyo aliuawa na maiti yake kukatwa katwa na kisha kuwekwa kwenye gunia. Biwi la simanzi lilighubika kijiji cha Ndumba, kaunti ya Kirinyaga wakati maiti hiyo ikifukuliwa. Watu walijaa kila kona kushuhudia tukio hilo la aina yake.
Home »
» MWILI WA KIZEE ALIEZIKWA HAI, HATIMAYE WAFUKULIWA KWA UCHUNGUZI ZAIDI..
MWILI WA KIZEE ALIEZIKWA HAI, HATIMAYE WAFUKULIWA KWA UCHUNGUZI ZAIDI..
Mwili wa ajuza wa miaka 95 anayedaiwa kuzikwa akiwa hai na jamaa zake umefukuliwa hivi leo, huku kukiwa na dalili huenda bibi huyo aliuawa na maiti yake kukatwa katwa na kisha kuwekwa kwenye gunia. Biwi la simanzi lilighubika kijiji cha Ndumba, kaunti ya Kirinyaga wakati maiti hiyo ikifukuliwa. Watu walijaa kila kona kushuhudia tukio hilo la aina yake.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment