Home » » RAIS WA MALAWI AFARIKI DUNIA: UTABIRI WA TB JOSHUA KUTIMIA.?!!

RAIS WA MALAWI AFARIKI DUNIA: UTABIRI WA TB JOSHUA KUTIMIA.?!!

Rais wa nchini Malawi  mh Bingu wa Mutharika afariki dunia kwa mshtuko wa moyo nchini South Africa alipopelekwa kwa matibabu kwa siri huku akiwa mahututi na hatimaye mauti kumfika akiwa hospital pamoja na mkewe na baadhi ya ndugu zake..


Kama mtakumbuka wale wanaofatilia masuala ya injili Prophet TB Joshua wa Nigeria mnamo mwezi wa pili alisema kuna kiongozi  wa Africa atakufa kwa ghafla ama kwa ugonjwa uliokua unamsumbua kwa muda mrefu, na akasema tumuombee maana Mungu kamuonysha hivyo. haya walioomba waliomba na wale wabishi kama kawaida walipuuzia kama kawaida, ila ndio mjue Mungu yupo for real.


Mungu ailaze Roho ya Marehemu Bingu wa Mutharika mahali pema peponi 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger