Pichani ni afande sele na mwanamuziki 20% wakihuzunika na wakiwa wenye majonzi makubwa baada ya kukabiziwa maumivu makali toka kwa wajeda wenye hasira mbaya mjini Morogoro.
Inasemekana wajeda waliwapa kipondo cha ukweli mastaa hawa wa musiki wa kizazi kipya bila kuchukua statement na kujua kama wanastahili kipondo hiko au lah.... na mara baada ya mkong'oto huo ndipo walipoambiwa watoe statement unaambiwa....baada ya kutoa statement Afande aliangua kilio kikubwa na mchozi mwingi kwa kuonesha maumivu, uchungu na hasira zilizomjaa ...
Duuh bongo bwana.... wajeda madai yao wapo busy na kazi yaani hata mastaa wanapata mkong'oto kama kawa..!!?? mweehh..!! Ila tukienda mbele na kurudi nyuma wasanii hawa walistahili hiki kichapo cha aina hii kama wezi jamani?? haya kwa more nyuzi chungulia Bongo flava Music blogspot ndio nilipotoa kisa hiki leo...
Home »
» AFANDE SELE NA 20% WAPATA KIPONDO
AFANDE SELE NA 20% WAPATA KIPONDO
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment