Home »
» WAREMBO WA MISS TOURISM TZ HAOO
WAREMBO WA MISS TOURISM TZ HAOO
Wadada nyie ni warembo haya basi ndio mtumie huo urembo wenu kuitangaza tz tena hhheeee....!!! mkishapewa tu hay magari sijui ni hela baaasi biashara imekwisha , mwenzenu nagombana kila siku huku na watu wanaodai TANZANITE NI YA SOUTH AFRICA, na Mt Kilimanjaro ni wa Kenya yaani naongea nabisha mkiniona mtanionea huruma....lol katikati ya wathungu naongea utasema nalipwa....wenye kazi yenu mmekaa miguu juu Kempisk lol fanyeni kazi bana sio kutuuzia sura tuu eehh
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment