Home » » HE CAME FROM HEAVEN TO EARTH

HE CAME FROM HEAVEN TO EARTH

LORD I LIFT YOUR NAME ON HIGH........
Leo ikiwa ni Ijumaa kuu a.k.a Good Friday Wakristo wote dunia tunakumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo  miaka 2000 iliopita, alivyoteswa na kufa na siku ya tatu akafufuka;  na alipokufa alishuka kuzimu kumnyang'anya shetani funguo a.k.a uwezo au mamlaka ya kuitawala dunia na hivyo YESU kutuokoa na mateso ya milele, na hii ni kama unaamini kwamba YESU alikufa kwa ajili yako ndio utamuepuka shetani ila kama unabisha sikulazimishi......we endelea kwenye next post

Mimi namuamini  YESU na ndio maana nimeamua kuadika;  wanaokubaliana na mimi m-barikiwe namuwe na pasaka njema, na mnaobisha kama kawaida yenu bebeni mabango muandamane na kama nimewauzi rivu mi aroni.....Its Good Friday.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger