Nilikua sitaki kupost habari hii maana bado nipo kwenye deny....nimesoma kwenye blog mbalimbali na kupewa habari na watu wenye uhakika kwamba Muigizaji nyota wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba amefariki leo usiku huu, kifo chake hakijajulikana vizuri, wengine ajali, wengine kasukumwa kaangukia kisogo ili mradi kila mtu na lake ila kwa habari kamili fatilia daresalaam-yetu blogspot.com
MAY YOUR YOUNG SOUL R.I.P. STEVEN
Home »
» ETI KANUMBA STEVEN AFARIKI DUNIA JAMANI
ETI KANUMBA STEVEN AFARIKI DUNIA JAMANI
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
1 comments:
I WILL ALWAYS LOVE YOU STEVEN, ALWAYS.
Post a Comment