Home » » CHANZO CHA KIFO CHA STEVEN

CHANZO CHA KIFO CHA STEVEN

Mdogo wa Marehemu alielezea waandishiwa habari kuwa, Elizabeth Michael a.k.a LULU alienda home kwa Kanumba na punde wakaanza argument na baadae Lulu alitoka na kwenda kumuita (kumuita mdogo wake kanumba sasa) na kumuambia aje aone Knaumba ameanguka, ndipo mdogo wamarehemu alipotoka mbio na kweli alikua Kanumba yupo chini na ndipo dogo alipofanya harakati zakumwita dactari wa Steven ambaye alikuja na kusema kwamba Kanumba alishaaga dunia ....na kipindi chote hicho Lulu alikua ameingia mitini, ila kwa sasa anashikiliwa na police wa Oysterby kwa ajili ya kuisaidia police na maelezo zaidi.......


Picha na habari zaidi chungulia; amormtage blogsot.com
R.I.P STEVEN KANUMBA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger