Home »
» Binti huyu ndio anaesemekana sababu ya kifo cha Steven
Binti huyu ndio anaesemekana sababu ya kifo cha Steven
Binti huyu Elizabeth Michael a.k.a lulu ndio mpaka dk hii anaesemekana anajua kilichompata Kanumba ila aligoma kusema mpk hapo lawyer wake atakapo kuja , yapata zaidi ya masaa 20 now tangu atiwe mikononi mwa police kwa lengo la kutoa maelezo na kuisaidia police ila bado hajasema kitu, tukipata habari zaidi tutawajulisha.....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment