Pichani mwenye t-shirt ya Tanzania ni mwanamusic wa gospel mama Rebecca Malope wa nchini South Africa akiwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutumbuiza na kuhudumu kwa ajili ya Easter ndani ya Bongo..
Huyu ni my favorite gospel singer, my role model katika swala zima la music wa gospel,my inspiration jamani yaani i wish ningekua home kwa kweli nisingemiss hata kidogo, Rebecca May God bless you kwa kuja kuwapa uhondo Watanzania,hope utapata tafu ya kutosha kutoka kwakina Rose Muhando na kazalika......Welcome to Tanzania we love you.. Kwa habari zaidi chungulia daresalaam yetu blogspot.com
Home »
» REBECCA MALOPE NDANI YA BONGO EASTER
REBECCA MALOPE NDANI YA BONGO EASTER
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
0 comments:
Post a Comment