Home » » Duuh fataki hana adabu kabisaa

Duuh fataki hana adabu kabisaa


Kwa mujibu wa vyanzo vya habari kutoka jeshi la Polisi, fataki huyu ni  dereva anayemwendesha kigogo wa wizara flani na ni baba mdogo wa mwanafunzi huyo ambaye jina lake tunalihifadhi.
Vyanzo hivyo vimedai kuwa, mwanafunzi aliyebambwa na Kachenga anasoma kidato cha pili katika shule moja iliyopo Kiluvya wilayani Kisarawe mkoani Pwani, anamwita Kachenga ‘dingi’ mdogo.
Habari zinazidi kudai Kachenga alitoboa ukweli huo baada ya kubanwa wakati alipokuwa akihojiwa na askari wa Kituo cha Magomeni jijini Dar mara baada ya kutiwa mbaroni.

More nyuz: Global Publishers...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger