Home » » FATAKI ALALA NA MWANAE BILA AIBU

FATAKI ALALA NA MWANAE BILA AIBU

                                            Pichani ni jamaa alifumaniwa na dent juzi kati

Kachenga hakuamini macho yake pale alipovamiwa na polisi katika chumba namba tano alichokuwa amejifungia na mwanafunzi huyo, aliishiwa nguvu na kujaribu kuomba msamaha, wakati binti yake alizimia kutokana na tukio hilo la aibu. Dereva huyo alichukuliwa na wanausalama hadi Kituo cha Polisi Magomeni. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Kinondoni, Charles Kenyela alikiri kuwepo kwa tukio na kwamba jeshi lake linamshughulikia....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger