Home » » MAWAZIRI LONGOLONGO VIROHO JUU

MAWAZIRI LONGOLONGO VIROHO JUU


SHINIKIZO la mawaziri waliodaiwa kuvurunda kwenye nafasi zao kuenguliwa linadaiwa kumfanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kuvunja baraza la mawaziri na kufanya uteuzi mpya.

Wakati hayo yakiendelea, habari zilizotua katika meza ya Risasi Jumamosi zinasema kwamba hali ni mbaya kwa mawaziri waliotajwa moja kwa moja bungeni na wale ambao wanajijua kuwa utendaji wao si wa tija kwa kuanza kujizatiti kabla ya kutimuliwa wizarani. Mawaziri na manaibu ambao wametajwa bungeni kwa kuhusishwa na utendaji mbovu ni kama ifuatayo:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) George Huruma Mkuchika, naibu wake Aggrey Mwanri, Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja pamoja na naibu wake Adam Malima.

Kwa habari zaidi ingia: Global Publishers soma gazeti la Risas......

Haya nimesikia sijui bwana mkubwa anataka kuvunja baraza lake la mawaziri na kuunda lingine upya. Kwesheni is hao mafisadi waliotajwa hapo juu watawajibishwa ama ndio wanaanchiwa hivi hivi wakiwa wanachekelea kwani washapata majumba yao ya ukweee? alafu eti unawapanga wapya waje kuiba tena tihihihihihihiiiiiii

Ewe baba Liz;.... usipoadhibu hao viranja utakaowaondoa ukivunja baraza na kuweka viranja wengine watafanya YALE YALE, mi nakuwambia kama unabisha subiria uone....kwi kwi kwi kwiiiiiiii

Proudly Tanzanian.......lol
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger