Home » » WEUSI WATESWA SANA LIBYA

WEUSI WATESWA SANA LIBYA

Hili n kundi la watu weusi nchini Libya likipata shurba bila sababu toka kwa Waarabu wa nchi hio

Tokea wammuvuzishe and  kumrestisha in pisi  soja Gaddaff, nchini Libya kumekua na sakata la kukata na mundu kwani watu wenye asili ya uswahili au ubanntu au ubulaki wamekuwa wakipata taabu toka kwa waasi wa Kiarabu nchini humo........hii inasikitisha sana ikiwa wewe ni Mwafrika na bado unanyanyasika japo kuwa upo katika bara lako? au Libya ni Uarabuni pale maana sielewe au zama za slave trade zinajirudia...??? uuwwwiiii ndio maana hata kama hatuna umeme au hata kama kina baba flani wanakula pesa za serikali i can still say I AM PROUDLY TANZANIAN lol
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger