Msanii wa music wa kizazi kipya Lina
Kuna msanii ambaye ni huyu bidada hapo juu inasemekana amekuja chini USA kuitangaza nchi yake a.k.a Tanzagiza kwa style music, sasa wadau wameanza kunong'ona eti ooh bi dada badala ya kutangaza nchi yake km alivyodai ameanza kuuza sura mara kupiga picha sijui za nini nini huko na amekua akizurura huko DC badala ya kukaa apige tizi ili awape watazamaji wake burudani ya kutosha, mweeh ...!!?? binafsi nauliza jamani kwani mtu ndio hata asitalii? haya bi dada mwaya karibu Marekani ndio utangaze huo utamaduni wetu basi kama ulivyoaga huko ...
Mimi na timu yangu nzima ya sweethome tunakutakia show njema...
0 comments:
Post a Comment