Home » » STYLE YA VICHUPI TU SIKU HIZI

STYLE YA VICHUPI TU SIKU HIZI

Katika pitapita yangu  nikakumbana na kapicha haka hukoo kaglobal publishers ambapo kamwandishi ka habari kamewe kapicha haka kwa  uzuri tu wala hakua na nia mbaya ila mimi nikapata ka-swali kamoja (in Mtanga voice) Hivi haka kakampeni nilikonako ka kumusaidia mwanamuke haka na kumfanya akuwe independenti kweli haka katafanikiwa kweli? ikiwa kamwamuke kenyewe kameishakata tamaa na kuamua kutupigia kapicha kakiwa  na kachupi tu kwakweli hii sasa inakuaje? au haka kastyle ni kwa ajili tu yakutafuta kapesa?

Mimi haka kadada sikajui, ila nimesikia sijui nikamwana senema sijui  sasa kwanini kaboss kake kamemuachia  haka kadada kakae na kachupi namuma hii?? sijui ndiwo kapensi namuna hii,??  jamani wanawake tujiamini na tujisitiri na tujuwe tunaweza kutengeneza kapesa bila kukaa namuna hii jamani mweeeh...??!! Am just saying....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

2 comments:

Anonymous said...

Kaboss nako kanapenda bwana

Anonymous said...

mh

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger