Wamama kama hawa wamekua wakiiomba Serikali kila siku kusaidiwa mikopo ili wajikwamue..... wanasema 'WE JUST NEED LITTLE HELP, WE ARE STRONG, WE CAN DO IT'
Ni kweli wamama kama hawa wakiwezeshwa wataweza, hivi mnajua mkimuendeleza mwanamke mmeiendeleza dunia? Am just saying......kama mtatusaidia tusaidieni jamani mweeh hayo majumba mliojenga na mabenki mliojaza hamjatosheka jamani mweeh...uuwwwiiiiiii.....
0 comments:
Post a Comment