Home » » UCHUMI KUWAATHIRI WANAWAKE ZAIDI

UCHUMI KUWAATHIRI WANAWAKE ZAIDI

Wadada walioonekana kwajiuza mitaa ya kati kuachilia mbali na hali yao ya Ujauzito

Kutokana na hali mbaya ya Uchumi Africa na kote duniani, vyombo vingi vya habari vimesomeka na kusikika kuripoti kwamba  kumekuwa na hali mbaya ya kiuchumi ambayo imepelekea wamama watu wazima kujuiza miili yao ili kukidhi haja za familia zao na kutunza watoto wao, aidha magazeti mbalimbali nchini yameripot kuwa hii style hata kwa wadada au wamama wajawazito pia wameonekana wakifanya dili hizo za udada poa ili tu kujipatia chochote.

Sasa mimi nipo hapa leo kuzungumzia swala hili kwa niaba ya wanawake ya nchi yangu, na kama kwa bahati nzuri wahusika wakisoma na wasaidie kama wanaweza, jamani tupeni mitaji hata mikopo tuanzishe na kubuni vibiashara vidogovidogo jamani udada poa sio jambo zuri, hivi hili ninaloongea linawezekana Tanzania au najifurahisha tu kuandika hivi? Anyway hata km haliwezekani you cant blame a sista for trying lol....Uuuuuwwwiii Serikali EMPOWER WOMEN TANZANIA, EMPOWER OUR NATION mweeeeh..!!!??  
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger