Home » » RIHANNA & CHRIS TUGEZA TENA

RIHANNA & CHRIS TUGEZA TENA

Blog yetu hii ni mostly mambo ya nyumbani lakini mara moja moja so mbaya tukichungulia maswala ya wenzentu kidunchu...


Hivi karibuni imesemekana kuwa bi dada Rihanna ameonekana kua close close na bi kaka Chris na watu kudai kuwa wamerudiana na kuonyesha kumsikitikia Rihanna na kudai kwamba sikio la kufa........ ?? Juhudi za waandishi kumsaka bi shost na kumuuliza kulikoni zilifanikiwa na ndio Rihanna aliposema kua uhusiano wake na Chris Brown ni ''innocent''akimaanisha hakuna chochote kinachoendela na kwamba ni STRICTLY business; Rihanna akasema kuna ngoma alikua anataka kuitoa na alitaka sauti ya kiume na Chris Brown ndio rapa pekee aliemuona angefaa katika songi hilo ambalo lilifanikiwa kurekodiwa na kutolewa hewani tangu last month....


Mi nawatakia kila la heri masta hawa iwe ni strictly business km anavyodai bi dada au vyovyote vile jamani kipenda roho utoka manundu lol waacheni km bado wanapendana hata mngesema nini hawataachana ng'o na ng'o.....

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

1 comments:

Anonymous said...

Vinapendeza bwana maana karihana kalianza kuharibika

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger