Home » » Mtoto wa Whitney kuolewa

Mtoto wa Whitney kuolewa

Hivi karibuni kuna rumors zilizotapakaa kwamba mtoto wa mwanamuziki mashuhuri duniani late Whitney Houston ameonekana katika hali ya kiromantink na mjamaa mmoja kwa jina la Nick Gordon.

Ukaribu huu watu walianza kuutilia mashaka juzi kati walipowaona couple hao wakiambatana kwa kushikana mikono na mahug na makiss moto moto ya hapa na pale mjini Atlanta. Rumors zimezidi kudai kwamba Bobbi Chrstine ameonekana kuvaa pete yenye mvuto wa engagement ring

Gordon 22yrs old ambae ni alikua km godson katika familia ya kina Houston amekanusha vikali rumors hizi na kusema yeye yupo close na Bobbi kwakua kipindi hiki kigumu anahitaji rafiki wa karibu na yeye haoni sababu ya kutompa shoulder binti huyo kwani Houston family imemsaidia sana na kumsapoti sana na all he can do is at least offer his time and support kwa bi dada muda na saa yoyote bi dada atakapohitaji....

Aidha wadau wamedai kwamba Bobbi is frustrated na vulnerable at the moment na asije kuchukua uamuzi wa kumuoa/kuolewa na jamaa just to find comfort after missing her lovely mom, hii imemuweka katika wakati mgumu bibi yake Christina ambae ameonekana kuwa na hofu ya kumpoteza mjukuu wake katika wrong person tena.

Blog hii inamumbea Bobbi Christina hekima na muongozo toka kwa Mungu ili at the end of the day mtoto wa watu asijekuumizwa maskini, naomba kama huyo kak anampenda kweli Mungu awasaidie wote..
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger