Home » » WONDERS SHALL NEVER END OOOH

WONDERS SHALL NEVER END OOOH

Mama huyu hapo pichani mwenye umri wa miaka 25 amewekwa chini ya ulinzi baad ya kashifa za kumfanyia binti yake wa kumzaa vitendo vya ajabu vya KISAGAJI.........

Mama huyu alikua akihojiwa na redio moja nchini asubuhi ya leo(ya Tanzania) ameonekana kutokushtushwa na tuhuma hizo ambapo amekua akijibu kashfa hizo bila wasiwasi wala kuonyesha majuto kwa jambo hilo la ajabu na kikatili na la kichawi kwa binti yake huyo mwenye umri wa miaka 7.

Mwanzoni mama huyo alitaka kukataa nakusema hajafanya hivyo ila baada ya wananchi wenye hasira kali kumshikia bango na kumwambia watampatia mkong'oto mama huyo alikiri na kusem eti yeye hajui alilokua  analifanya na kama vipi afungwe tu kwa muda mrefu ili a-come to her senses na kwamba yeye kama alifanya hivyo kweli hajui na sio kosa lake...

Mtoto huyo aligundulika baada ya kuonwa akijiweka vitu huko sehem sehem na ndipo bibi mtu akamkabili
binti huyo na kuhoji kwanini anafanya hivyo na binti kudai ni mama yake ndio amekua akimfanya hivyo mara kwa mara....mtoto kupelekwa ktk uchunguzi zaidi ikabainika kua alikua kashaharibiwa vibaya sehem zake zote mbili kwani hilo limama lake lilikua likimuingilia sehem zote kwa vidole na baadae kwa kutumia uume wa bandia na hivyo kumuharibu mtoto vibaya...

Watu wote walio sikiliza habari hii wamekua na hasira na wamama wengi wameshikwa na hasira na uchungu na hadi wengine wamelia kabisaaa....mimi km mama tena wa mtoto wa kike naiomba serikali jamani isimuachie huyu mama bila kumpa adhabu kali kabisaaa maana ukatili wake ni sawa tu na muuwaji.......
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger