Home » » MOLA MPE WEPESI:- BARNABA APOTEZA FAHAMU WAKATI WA MAZISHI YA MAMA YAKE.

MOLA MPE WEPESI:- BARNABA APOTEZA FAHAMU WAKATI WA MAZISHI YA MAMA YAKE.

Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina
Barnaba  kutoa heshima za mwisho..!
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!!


Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana
 mara ya mwisho na mpendwa wako....
Barnaba akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....!!


Madee akiwa na  Lady Naa......!!

Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!!
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T)


Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini
kwaajili ya maziko kumpumzisha
Mama....!!


Esmah Khan & Hawa ntarejea walikuwepo
kuwafariji wafiwa...

Hapa mwili ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...!

Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!!


Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake

Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia
hatua ya kutokuweza kusimama,
ilibidi asaidiwe...!!
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!!
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukiwa na mchanga.....!
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!!
Producer Lamar  wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...!
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa
nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa...


Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa
Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!!

Simple the Boy alionekana kuwa mbele kwenye
 ratiba ya makaburini
 kuakikisha mipango inaenda sawa...!!


Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini
..!!
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya
 marehemu Mariamu Arubeth...!!







Msemaji wa Familia akitoa maelekezo  kwa waombolezaji mara
 baada ya kumaliza shuguli a maziko...!!
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada
ya shuguli ya mazishi kukamilika...!!
Mama Diamond Akimuwakilisha mwanawe ambae yuko Comoro kikazi kwenye mazishi hayo. Picha zote na Thi is Diamond
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger