Home » » MASKINI: MTOTO ATUPWA SHIMONI NA MAMA YAKE, AKAA HUMO SIKU 6 NA HAKUFA

MASKINI: MTOTO ATUPWA SHIMONI NA MAMA YAKE, AKAA HUMO SIKU 6 NA HAKUFA


Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 inasemekana alipozaliwa aliwekwa kwenye mfuko wa mbolea na mama yake na kutumbukizwa kwenye shimo... ambapo alikaa siku 6 ndani ya shimo hilo bila kula wala kunywa hadi alipookotwa na wasamaria wema akiwa bado yupo hai.

Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akiwa Salama  Salimini . Yeyote Mwenye nafasi ya kumsaidia mtoto huyu anaweza kwenda moja kwa moja Hospitali au wasiliana na namba zifuatayo,  mchango  utafuatwa 0755061588 au 0755 731 234.
Dawati la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma wakiwa na Wauguzi kuangalia usalama wa Mtoto huyo
Pichani ni Polisi Wanawake Mkoa wa Ruvuma wakiwa na Wauguzi kuangalia usalama wa Mtoto huyo aliyetupwa. Kutoka kulia ni Muuguzi Rukia Twahili anayefuata ni Devota Umbela na aliye mshika mtoto Mwenyekiti wa Mtandao wa Police Wanawake Fadhila Chacha na wa mwisho kushoto ni Anna Chaima




****Daaah mi bado nashangaa unabebaje mimba miezi 9 afu unajifungua vizuri na kuamua kumtupa mtoto jamani?  hivi wanawake wengine wana roho gani lakini? God will punish them kwa kweli.... na huyu mtoto Mungu akasema she will not die.... siku zote hizo katoto bado kapo kazima, tunakuombea ukue salama uje kua mtumishi wa Mungu kwa kweli.... ****
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger