Home » » DUUH SASA NDIO NAAMINI : UJENZI WA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI UNAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

DUUH SASA NDIO NAAMINI : UJENZI WA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI UNAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM



Ujenzi wa barabara itakayotumiwa na mabasi yaendayo mwendo kasi unaendelea kama mafundi hawa waliponaswa na kamera yetu leo maeneo ya Mwembechai jijini Dar es Salaam. Hiki ni kituo cha abiria watakachokuwa wanasubiria mabasi hayo. Ina aminika kuwa ujio wa mabasi hayo yatasaidia kupungumza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam ambao umekuwa kero kubwa.
Habari/Picha na George Kayala kutoka GPL








Ujenzi huu umeonekana umechukua vyuma vyingi kukamilisha ujenzi huu
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger