
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amejikuta akikamatwa na polisi na kuhojiwa kuhusu mauaji ya mpenzi wake nyumbani kwake mjini Pretoria, bila kutarajia. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Mkuu wa Polisi, Sarah Mcira, alisema kuwa mwanamke aliyefariki nyumbani kwa mwanariadha huyo alipigwa risasi kwenye mkono wake na kichwani.
Hata hivyo hali iliyosababisha mauaji hayo bado haijulikani. Sosi za habari zinasema kuwa Pistorius huenda alimuua Reeva Steenkamp kimakosa kwa kudhania kuwa ni mwizi aliyekuwa amemvamia. Pia inasemekana Reeva alikuja kwa Oscar bila taarifa kwa dhumuni la kumsupriz kwenye siku hii ya wapendanao....
***OH LORD HOW SAD JAMANI***
0 comments:
Post a Comment