Home » » MFANYAKAZI WA NDANI AJINYONGA JANA HUKO TABATA

MFANYAKAZI WA NDANI AJINYONGA JANA HUKO TABATA


Mwili wa dada wa kazi (jina halikupatikana haraka) ukiwekwa kwenye gari baada ya kutolewa ndani alipojinyonga nyumbani kwa muajiri wake eneo la Tabata Barakuda, tukio hili lilitokea  jana saa moja usiku na mpaka sasa bado chanzo kilichopelekea dada huyo kujitunduka hakijulikani
        
mfanyakazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku  kama alivyokutwa na watu akiwa bado ananing'inia

umati wa watu waliozunguka na kujaa eneo la tukio kushuhudia tukio hilo la kusikitisha, wamesikika wakinong'ona kua tukio hili ni la mara ya pili kutokea eneo hilo.

majirani wakiendelea kushangaa mwili wa marehemu uliokua bado unaning'inia muda mfupi baada ya tukio hilo na kabla police ya kuutoa hapo na kuupeleka chumba cha kuhidhia maiti

na: TZdadaz.com
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger