
Kutoka gazeti la Daily Maily la nchini Uingereza limeripoti leo kwamba serikali ya Kenya imekamata vipande 638 vta meno ya tembo, sawa na tembo 320 waliouawa. Mzigo huo wa tani 2 ulikua kwenye macontainer makubwa ya mawe ya urembo(marumaru) yaliokua yakisafirishwa yakitokea Tanzania..
Mpaka dakika hii vinashikiliwa na idara ya mapato ya Kenya....
***Mweeh kila siku tunalia umaskini Tanzania, huku watu wanaua tembo wetu na kuuza meno yao nchi za jirani jamani BILIONI mbili hizo jamani uuwwii ENYI VIONGOZI WA TANZANIA NI NANI ALIEWALOGA JAMANIII,,,,,,,,, mi nishachoka hata kulalamika ngoja ninyamazege tu ,,, mweeh tembo 320 hivi hivi??**
Habari na jamiipress.com
1 comments:
Duuh Serikali inauza tu mali ya Umma..
Post a Comment