Home » » APOTEZA MAISHA BAADA YA KUKANYAGWA NA GARI YAKE ALIOKUA AKIJARIBU KUIZUIA ISICHUKULIWE

APOTEZA MAISHA BAADA YA KUKANYAGWA NA GARI YAKE ALIOKUA AKIJARIBU KUIZUIA ISICHUKULIWE

Tragic: Elias Konwufine, 39, pictured, was trying to stop his vehicle from being towed on Wednesday when he fell under the wheels of his car
Bwana Elias Konwufine, 39 ambaye ni father-of-three na alikua Dean  wa Keiser University huko Fort Lauderdale, Florida... amefikwa na umauti juzi jumatano, ambapo alikua akijaribu kuzuia gari yake isivutwe na watu wa tow waliokua busy kuitow gari hio hapo mbele ya nyumba yake ilipokua ameipark.. Bwana Elias aleacha mke na watoto watatu alijaribu kudandia kwenye truck iliokua inavuta gari lake na bahati mbaya alikosa balance na kuanguka ambapo gari yake ilimkanyaga na alikimbizwa hospital kwa ajili ya kuokoa maisha yake ambapo alifariki masaa matatu baada ya kufika hospitalini hapo..
Devastated: The business school dean left behind a wife and three children, pictured
Familia ya marehemu Elias wakiwa katika majonzi, na kutokuamini yaliyotokea jioni hio hapo nyumbano kwao.. (Maskiniii SMH kwa huzuni)
Accident: The accident happened outside the family's Lauderhill, Florida, home, pictured
ndugu jamaa na marafiki walifika haraka kwenye eneo la tukio jioni hio, huku wote wakiwa hawaamini yaliyojiri, baadhi ya ndugu wa Elias wamesikika wakisema huo ndio mchezo wa Capitol Tow Company wanatabia sana ya ku-tow magari kila mara na this time watawasuu kwani wamesababisha kifo cha baba wa watu ambacho hata hakikustahil....

Mr Elias had two doctorates by the time he was 37, na waliomjua wanasema he was 'a wonderful person,...

****Maskini poleni sana jamani, uuwwii what a tragedy jamani huyo mama na hao watoto..poleni sana****
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website

0 comments:

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. Sweet Home - All Rights Reserved
Template Modify by Creating Website
Proudly powered by Blogger